Director Clevor X News

Naitwa Clevor X napenda kuwatangazia Ndugu,
jamaa marafiki na mashabiki, pamoja na jamii kwa ujumla.
Kuwa nipo tayari kufanya kazi popote duniani na Africa .
Nitafute kupitia namba zangu wasiliana na chap connect watakupatia,
au kwenye plofile yangu, Asante.