Mafuru News
Naitwa Mafuru ni comedian, napenda kuwatangazia Ndugu,
jamaa, marafiki na mashabiki, pamoja na jamii kwa ujumla.
Kuwa nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania, Africa na duniani.
Nitafute kupitia namba zangu zipo kwenye plofile yangu Asante.
