Zuuh Twalib News

Naitwa Zuuh Twalib napenda kuwatangazia Ndugu,
jamaa marafiki na mashabiki, pamoja na jamii kwa ujumla.
Kuwa nipo tayari kufanya kazi popote Africa na duniani.
Nitafute kupitia namba zangu wasiliana na chap connect watakupatia,
au kwenye plofile yangu, Asante.